Futa program kutoka kwenye Computer(Windows)

Kwa watumiaji wa Windows 7/8/10. Je una software inayokusumbua sana kwenye Computer mpaka unajuta kwanini uliiweka au kuwekewa. Kuna program huitaki ndani ya Computer yako, basi leo tutakufundisha namna ya kuiondoa kutoka katika computer yako.

Fatisha maelezo yafuatayo:

1.   Bonyeza Start

2.   Chagua Control Panel

unistall2

3.   Chagua Programs

 

unistall3

4.   Chagua Programs and Features

unistall4

5.   Ukurasa ulioandikwa Unistall or Change a Program utatokea.

6.   Bonyeza kitufe cha kulia cha mouse(Right-click)

7.   Bonyeza unistall/remove program

Fata maelekezo ya kufuta program yako itategemea na program hapa.

Hongera!!!! Umefanikiwa kuiondoa. Rudia hatua namba 6 kwa kuendelea kufuta program nyingine.