Wezesha simu yako na huduma za internet (Android)

Kuunganisha simu yako na huduma za internet kwa watumiaji wa Android. Njia hii na yakuunganisha kwa mtumiaji husika mwenyewe(manually) kuna njia nyingine iliyorahisi pale unapoweka tu line(sim card) yako kwenye simu huwa unatumiwa settings za internet na mtumiaji unatakiwa kuzisave. Iwapo hauna setting za internet kwenye simu yako fata maelekezo yafuatayo. Hii ni watumiaji wa … Continue reading Wezesha simu yako na huduma za internet (Android)