Namna ya kuconnect modem kwenye Ubuntu/Linux

Kwa watumiaje wa Linux Operating System haswaa Ubuntu au Linux Mint kumwekuwa na mswali mengi ya namna wanayoweza kuconnect modem zao wanapokuwa ndiyo wamemaliza kuinstall au wanapojaribu kuziweka kwa mara ya kwanza. Usihofu fuata njia hizi:- Chomeka modem yako ikiwa na line ya simu ndani. Nenda sehemu yenye alama ya mnara kwenye taskbar yako bonyeza … Continue reading Namna ya kuconnect modem kwenye Ubuntu/Linux

Namna ya kushare link kwenye internet

Umekuwa ukijiuliza watu wanawezaje kushare kushare vitu kutoka katika site fulani kwenda site fulani. Mfano: Kutoka Youtube kwenda Facebook . Jibu ni hili Site nyingi zinaruhusu sharing ya content zao directly kutoka katika site kwa kutumia Sharing Button kama hii ya kwenye picha. Lakini pale unapotaka kushare page ambayo haina sharing button je ni kipi … Continue reading Namna ya kushare link kwenye internet