Tengeneza akaunti yako ya Barua Pepe (Gmail)

Namna ya kutengeneza akaunti ya barua pepe. Zoezi hili linafanyika kwenye computer iliyounganishwa na internet. Fungua browser(Mozilla Firefox, Internet Explorer nk) yako. Nenda http://www.google.com   Chagua Gmail upande wako wa kulia Chagua Create an account Jaza fomu itakayotokea. Wakati wa kujaza hakikisha.     Username ndiyo itakuwa jina la email yako, hazifanani iwapo itakataa jua … Continue reading Tengeneza akaunti yako ya Barua Pepe (Gmail)

Namna ya kuinstall composer – Ubuntu

Hi ni kwa watumiaji wa Linux systems. Leo tutaangalia namna tunaweza kuinstall Composer  kwenye system yako. Fungua terminal Bonyeza Ctrl+Alt+T Copy code zifuatazo na uzipaste kwenye terminal kisha bonyeza enter php -r "copy('https://getcomposer.org/installer', 'composer-setup.php');" php -r "if (hash_file('SHA384', 'composer-setup.php') === 'aa96f26c2b67226a324c27919f1eb05f21c248b987e6195cad9690d5c1ff713d53020a02ac8c217dbf90a7eacc9d141d') { echo 'Installer verified'; } else { echo 'Installer corrupt'; unlink('composer-setup.php'); } echo PHP_EOL;" … Continue reading Namna ya kuinstall composer – Ubuntu

Namna ya kuconnect modem kwenye Ubuntu/Linux

Kwa watumiaje wa Linux Operating System haswaa Ubuntu au Linux Mint kumwekuwa na mswali mengi ya namna wanayoweza kuconnect modem zao wanapokuwa ndiyo wamemaliza kuinstall au wanapojaribu kuziweka kwa mara ya kwanza. Usihofu fuata njia hizi:- Chomeka modem yako ikiwa na line ya simu ndani. Nenda sehemu yenye alama ya mnara kwenye taskbar yako bonyeza … Continue reading Namna ya kuconnect modem kwenye Ubuntu/Linux