Activate Windows yako kwa kutumia Command

Kuactivate Windows yako kwa kutumia command hii haitakufanya upate uhakika wa kudumu hili litakupatia siku 30 zaidi huku ukijipanga kununua Windows yako kutoka kwa mawakala. Hii inafanya kazi kwenye Windows Xp/7/8 na 10. Angalizo: Trick hii ni ya kuactivate kwa muda wa siku 30 tu, Swahiliware inashauri kununua Windows orijino ili kuweza kupata ufanisi zaidi … Continue reading Activate Windows yako kwa kutumia Command

Tengeneza akaunti yako ya Barua Pepe (Gmail)

Namna ya kutengeneza akaunti ya barua pepe. Zoezi hili linafanyika kwenye computer iliyounganishwa na internet. Fungua browser(Mozilla Firefox, Internet Explorer nk) yako. Nenda http://www.google.com   Chagua Gmail upande wako wa kulia Chagua Create an account Jaza fomu itakayotokea. Wakati wa kujaza hakikisha.     Username ndiyo itakuwa jina la email yako, hazifanani iwapo itakataa jua … Continue reading Tengeneza akaunti yako ya Barua Pepe (Gmail)

Futa program kutoka kwenye Computer(Windows)

Kwa watumiaji wa Windows 7/8/10. Je una software inayokusumbua sana kwenye Computer mpaka unajuta kwanini uliiweka au kuwekewa. Kuna program huitaki ndani ya Computer yako, basi leo tutakufundisha namna ya kuiondoa kutoka katika computer yako. Fatisha maelezo yafuatayo: 1.   Bonyeza Start 2.   Chagua Control Panel 3.   Chagua Programs   4.   Chagua Programs and Features 5.   … Continue reading Futa program kutoka kwenye Computer(Windows)

Andika Barua ( Microsoft Word)

Namna ya kuandika barua kwa kutumia Microfost Word(2003, 2007, 2010, 2013). Microsoft Word ni program mojawapo ya computer inayopatikana ndani ya Microsoft Office. Program hii hutumika kwenye computer zenye Windows Operating Systems  mfano: Windows XP, 7 , 8 , 10 .   Ili uipate Microsoft Word ni lazima uwe na Microsfot Office kwenye computer. Kuangalia kama … Continue reading Andika Barua ( Microsoft Word)